Wednesday, 17 June 2026

Je, Edwin Sifuna atakuwa mgombea mwenza wa David Maraga?

 


 

Dalili za mwaniaji wa urais David Maraga kushirikiana na kikosi cha Linda Mwananchi kumuua rais William Ruto

Madere zimedhihirika hii leo wakati Maraga alipokuwa akizungumzia hali ya taifa wabunge watatu kutoka Linda

Mwananchi walihudhuria hafla hiyo na kuidhinisha azma yake Maraga huku wakisema kuwa Maraga ndiye mwaniaji

Pekee ambaye wanaweza kumpa Seneta Edwin Sufuna kuwa mgombea mwenza wake. Pengine tutarajie tiketi ya Maraga Sifuna. David Mudhoka anachambua.

Jina la Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna limezidi kuhusishwa na kinyang'anyiro cha ikulu cha mwaka ujao.

Hii leo likitajwa kwenye hafla yake kiongozi wa UGM David Kenani Maragaa.

All these tribal groupings must come and support killing people like Maraga.

And if Sifuna is not going to be a presidential candidate, the only person I will allow Sifuna to deputize is Maraga. Nobody else.

Viongozi wengine waliokuwepo wakipigia debe muungano mmoja wa viongozi wote wa upinzani kama mbinu pekee ya kumuoa Rais Ruto mamlakani.

Mimi na Chief Justice Emeritus tunataka kutembea pamoja.

Kwa sababu kwa sababu mioyo yetu na maadili yetu yanafanana. Nobody is going to make it

Without collaborating with others. So we are finding our ground on how to collaborate. The ultimate decision is yours.

So we have come here with a hand of friendship as Azimio as Linda Mwananchi with an embrace of brotherhood so that

We can find a formula to work together with you to bring the change that this country so desperately needs. This opposition unity must be built on a convergence of values not appetites.

We need to unite under the rule of law and permanently ensure that no future leader can weaponize state power to root

Public resources kill our children and silence descent. Kwenye hotuba yake inayojiri baada ya miezi ya kukusanya

Maoni kutoka kwa wakenya katika kaunti 43 kati ya 47. Maraga alisisitiza kuwa

Ni sharti wakenya wamtoe rais William Ruto mwezi Agosti mwaka ujao. Take it from me.

If Ruto or is reelected or anyone who espouses his value systems

Takes the reigns of this country, it will be tragedy. [muziki] Ameni wakenya acheni kulala.

Msichague wakora maraga akiongeza kuwa ikiwa rutoapata

mhula mwingine taifa litazama i just need five years. Give me five years only

it has taken routerally demolish this country. Mbio za ikulu zinazidi kupamba moto ikiwa imesalia

miezi 14 kabla ya wakenya kuelekea debeni. David Mutsoka NTV Nairobi

 


https://youtu.be/cL54G41XDGg?si=2WQvR1vtQkBfeb05

No comments:

Post a Comment

Gachagua FULL SPEECH today asking Gen Z to stay home on June 25 Anniversary GenZ Protests Maandamano

Thank [clears throat] you very much dear Kenyans. Today I wish to address myself on the planned peaceful protest for Thursday 25th June ...